Mtoto
wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa
zaidi duniani alianza kupewa chakula cha kupunguza uzito Arya Permana
ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida kwa kuwa alikuwa na uzani wa
kilo 188.
Mtoto huyu hatimaye ameweza kurudi shuleni baada ya kupunguza uzito wa kutosha wa kumwezesha yeye kutembea kwani siku zote alikuwa akillala na hakuweza kutembea na kusababisha yeye kukatisha masomo.
Mtoto
huyu unaambiwa amekuwa akila milo mitano kwa siku lakini baada ya
ushauri wa kufanya diet na mazoezi makali Arya ameanza kupunguza uzito
ndani ya wiki chache sasa anaweza kukaa lakini pia kutembea kwenda shule
na kucheza na wenzake darasani