Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Utacheka Mpaka Mbavu Ziume Leo..Video ya Mchekeshaji Matata Tanzania "JK Comedian "


Msanii JK Comedian amezidi kuonyesha ubora wake katika kuigiza sauti za watu mashuhuri kwa style ya kuchekesha, time hii kaisogeza burudani kwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa katiba na sheria Harryson Mwakyembe na Waziri wa zamani wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka.


Tazama hapa chini video yake..

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com