Video : Maalim Seif na Lowasa Walivyoshiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi
Monday, August 15, 2016
Fuata kiambatanisho cha hapo chini kuangalia namna ambavyo Katibu Mkuu wa chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Edward Lowasa walivyoshiriki katika mazishi ya aliyekuwa rais wa pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Migombani mjini Zanzibar.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin