Video Mpya ya Msanii Mdogo Zaidi wa Nyimbo za Asili Misoji Kutoka Geita..Wimbo Mwajuma
Sunday, August 14, 2016
Weekend zote Malunde1 blog hukusogeza karibu kabisa na wasanii wa nyimbo za asili...Leo Ninayo hapa Video ya msanii wa nyimbo za asili mwenye umri mdogo zaidi kutoka mkoani Geita,anaitwa Misoji wimbo unaitwa Mwajuma..Tazama video hii kali
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin