Video ya Vituko ! Masanja Mkandamizaji Akiwacharaza Bakora Vijana Ambao Wamechelewa Kuoa
Wednesday, August 17, 2016
Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedy, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambaye Agosti 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwaye Monica amefanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa adhabu kwa vijana wanaochelewa kuoa. Tazama video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin