Malunde1 blog ni kisima cha nyimbo za asili...Kama kawaida yetu kila weekend huwa tunakusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili...Weekend hii tumesafiri mpaka wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu na kukutana na msanii Kisima "Nyanda Majabala",ametualika kutazama video yake mpya inaitwa "Ntemi Ni Ntemi".
Video hii imetengenezwa Makula Studio...Ni video nzuri ya asili ....Bonyeza hapa chini
Social Plugin