Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA HAPA PICHA ZA UTOTO ZA MCHEZAJI GHALI ZAIDI DUNIANI PAUL POGBA

Leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba.


Kama humfahamu Paul Pogba ni jamaa ambaye alizaliwa Lagny-sur-Marne wazazi wake wakiwa wametokea Guinea, katika soka Pogba ana ndugu zake wawili ambao ambao wote wanacheza soka pia, kaka yake Mathias anachezea timu ya taifa ya Guinea.
 
Paul Pogba muonekano wake wa sasa


Paul Pogba muonekano wake wa sasa


Pogba wa pili kutoka kushoto waliosimama
Pogba wa katikati na kaka zake
Pogba wa kwanza kushoto
Pogba wa kwanza kushoto

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com