Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA HAPA VIDEO YA MAZISHI YA MSANII MAARUFU WA NYIMBO ZA ASILI NYANDA MADIRISHA ALIYEFARIKI AKIJIANDAA KUFANYA SHOW SIMIYU


nyimbo za asili

Tarehe 06.08.2016 wasanii na wapenzi wa nyimbo za asili nchini Tanzania walipata pigo kubwa kutokana na msanii kipenzi cha watu Nyanda Madirisha aliyekuwa mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga alifariki dunia akijiandaa kufanya show yake wilayani Maswa mkoani Simiyu.Watu mbalimbali walijitokeza katika mazishi ya msanii huyu maarufu..Malunde1 blog ambaye ni mdau mkubwa wa nyimbo za asili...tumeamua kukusogezea video ya mazishi ya msanii Nyanda Madirisha..Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com