Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA VIBONZO VYA UTANI WA SIMBA NA YANGA VILIVYOTAWALA MTANDAONI KABLA YA MECHI YAO OKTOBA 1



Jumamosi ya Oktoba 1, 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika.



Kuelekea mchezo huo naomba nikusogezee katuni au vibonzo maarufu vinavyopendwa kutumiwa na mashabiki wa timu hizo mbili, kupigana vijembe au kutambiana mitandaoni.







Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com