Msanii Baraka the Prince amechia ngoma yake mpya Mkitoni ikienda kwa jina la Nisamehe akimshirikisha Ali Kiba. Kama hujasikia ngoma hii mpya bofya <<HAPA>> kuidownload
Baraka The Prince ameungana na wasanii wengine wa Kitanzania waliosainiwa na label ya Rockstar 4000.
Msanii huyu anayechipukia kwa kasi atakuwa miongoni mwa wasanii wachache ambao watakuwepo kwenye tour ya Fiesta mwaka huu (2016).
Habari iliyopo ni Kwamba, msanii huyu atakuwa aki perform nyimbo yake mpya “Nisamehe”.

Usikose nafasi hii ya kumuona akipafomu LIVE.
Sikiliza na kudownload Nisamehe hapa
Social Plugin