Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

LORI LAGONGANA NA GARI DOGO NA KUUA WATU WANNE HUKO IRINGA



Watu wanne wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na gari dogo katika eneo la Nyororo mkoani Iringa.

 
Taarifa kamili tutawaletea hivi punde

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com