Ni weekend nyingine Malunde1 blog inakukutanisha na wasanii wa nyimbo za asili.Kila weekend huwa tunakuwa na ngoma za wasanii wa nyimbo za asili...Leo tunakusogezea video ya msanii wa nyimbo za asili Shinje Original ,wimbo unaitwa Kusoma.Video inatisha kama wewe ni muoga usiangalie kabisa kwa sababu anaonesha mambo ya asili.
Tazama Hapa chini
Social Plugin