Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha!! BASI LA HOOD LA MBEYA - ARUSHA LAGONGA PIKIPIKI,LAUA NA KUJERUHI


Mtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com