PICHA:MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUSHUHUDIA KUPATWA KWA JUA MKOANI MBEYA



Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makala, (Katikati), Meneja Uhusiano wa TANAPA, Pascal Shelutete (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa, wakitumia miwani maalum kuona tukio la kupatwa kwa jua Mbarali mkoani Mbeya Septemba 1, 2016
Uhaba wa miwani ya kutizamia jua iliwafanya baadhi ya wananchi kutumia mifuko ya rambo yenye rangi nyeusi na kuikunja zaidi ya mara tatu ili nao wapate kuona tukio hilo




Watalii toka nchi mbalimbali duniani wa walishiriki kushuhudia kupatwa kwa jua

Baadhi ya wananchi wakiendelea kushuhudia kupatwa kwa jua wengi wao walitumia simu zao baada ya kukosa miwani maalumu
Meneja Uhusiano wa TANAPA, Pascal Shelutete akizungumza na watalio waliofika katika tukio la kipatwa kwa jua Rujewa
Mwenyekiti wa chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na uwekezaji Tanzania TAJATI Ulimboka Mwakilili akitoa maelezo mafupi jinsi ilivyofanya kazi kubwa ya kutangaza tukio hili la kupatwa kwa jua
Mtaalam wa Astronomia (Astronomy) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Dk. Noorali Jiwaji wa Kitivo cha Sayansi, Teknologia na Elimu ya Mazingira, akielezea historia fupi ya kupatwa kwa jua Rujewa


Wanafunzi ea shule mbali mbali wahudhuria tukio hilo





TBL Mbeya pia walikuwepo katika tukio hilo











PICHA ZOTE KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post