TAZAMA VIDEO MPYA YA MANJU WA KISUKUMA "NGELELA" - JOHN KABOJA
Friday, September 16, 2016
Manju maarufu wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma "Ngelela" kutoka Shinyanga Vijijini ametualika kutazama video yake mpya inaitwa John Kaboja.
Itazame hapa chini ..ni ngoma kali balaa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin