Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya ya Kisukuma !! SUBHI FUNUKI - HARUSI YA NG'WANA KASHINJE




Malunde1 blog inakualika kutazama Video mpya ya msanii wa nyimbo za asili "Subhi Funuki",wimbo unaitwa "Harusi ya Ng'wana Kashinje"...Subhi Funuki ni msanii wa kike kutoka Kahama mkoani Shinyanga...Tazama Hapa Ngoma hii Kali

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com