TAZAMA VIDEO YA NCHAINA Ft MALIGANYA KUHUSU KIFO CHA MSANII NYANDA MADIRISHA
Friday, September 16, 2016
Ninayo hapa video ya wasanii wa nyimbo za asili Nchaina na Maliganya kutoka Kahama inaitwa Kifo cha Nyanda Madirisha..Msanii Nyanda Madirisha ni msanii wa nyimbo za asili alifariki mwaka huu (Agosti 6,2016) kwa ajali ya pikipiki akijiandaa kufanya show wilayani Maswa mkoani Simiyu.
Wasanii Nchaina na Maliganya wameamua kumlilia msanii Nyanda Madirisha kwa wimbo huu.Nchaina anadaiwa kuwa ndiyo mrithi wa Nyanda Madirisha.
Tazama video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin