Hii imekuwa kama neema kwa Saida Karoli. Ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuurudia wimbo wa “Maria Salome” wa mwanamama huyo ambao aliufanya zaidi ya miaka 10 iliyopita.
Jina la mwanamama huyo limerudi tena katika midomo ya wapenda burudani baada ya kupotea kwa muda mrefu.
Akizungumza na Malunde1 blog,Saida Karoli amesema anajihisi kuzaliwa upya na kwamba hivi sasa anatafutwa na watu wengi sana vikiwemo vyombo vya habari.
Hakuna asiyetambua kuwa siku chache zilizopita Tanzania ilipata pigo kwa kupoteza takribani watu 16 na majeruhi zaidi ya 250 kutokana na tetemeko la ardhi lililotikisa Kanda ya ziwa.
Tayari Saida Karoli ametoa wimbo juu ya tukio hilo.

Unakila sababu ya kuusikiliza ndio maana nikakuletea hapa ili uusikilize na hata kuudownload pia.
Social Plugin