BASI LA HOOD LAGONGANA NA LORI LA MAFUTA MLIMA KITONGA IRINGA
Friday, October 28, 2016
Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.
Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin