Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MCHEKESHAJI ERIC OMONDI KAIFANYIA REMIX NGOMA YA DIAMOND 'SALOME' KAIPA JINA SANG'OMBE


Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya Eric Omondi ameifanyia remix video ya "Diamond Platnumz Salome"..Yeye Kaipa jina Sang'ombe..Tazama hapa chini ucheke sana leo


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com