Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NGOMA KALI YA ASILI: MANG'WENG'WE- UHONDO WA PIPI



Nimekusogezea ngoma ya Msanii wa nyimbo za asili Mang'weng'we,ngoma inaitwa Uhondo wa Pipi..Video hii ni kitambo kidogo ilikuwa kwenye Maktaba ya Malunde1 blog..Itazame hapa chini..Vijana wakata viuno utafikiri hawana mifupa.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com