Ngoma ya Asili: BENJA SHOKA UBHUJE- MKE WANGU,TAZAMA HAPA VIDEO HII KALI
Sunday, October 16, 2016
Karibu sana mpenzi wa msomaji wa Malunde1 blog hasa wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili ambazo kwa namna ya pekee kabisa huwa tunazisogeza kila mwisho wa wiki.Leo Tunakukutanisha na Msanii anayeimba kwa lugha ya Kisukuma "Benja Shoka Ubhuje",wimbo unaitwa "Mke Wangu".Tazama video hii kali hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin