NGOMA YA KISUKUMA: MANJU ITENDELE MCHENYA- HARUSI YA MZEE KULWA
Sunday, October 09, 2016
Leo nakukutanisha na manju Itendele Mchenya kutoka Tabora,anakualika kutazama video ya wimbo wake unaitwa Harusi ya Mzee Kulwa..Hapa akitoa burudani katika harusi ya Kienyeji.Bofya hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin