Picha 54: MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI,KITAIFA MKOANI SHINYANGA
Tuesday, October 11, 2016
Hapa ni katika ukumbi wa mikutano katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambako leo Jumanne,Oktoba 11,2016 kumefanyika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike,ambapo kitaifa limefanyika mkoani Shinyanga.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu.Angalia matukio katika picha kilichojili ukumbini.
Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga Albert Msovela akitambulisha wageni mbalimbali Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akizungumza Mkuu wa mkoa akizungumza Kulia ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba,kushoto ni naibu meya wa manispaa ya Shinyanga Agnes Machiya Alhaji Ibrahim akichangia hoja katika kongamano hilo
Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack,kulia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa Kushoto ni mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mheshimiwa Azza Hilal,akifuatiwa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu,Boniface Butondo na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Ngassa Mboje wakiwa ukumbini Wajumbe wakiwa ukumbini Wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakiwa ukumbini Kongamano linaendelea Wenyeviti wa halmashauri za wilaya wakiwa ukumbini Wakurugenzi wa halmashauri wakiwa ukumbini Viongozi wa madhehebu ya dini wakiwa ukumbini Watumishi wa serikali na wadau wakiwa ukumbini Wadau mbalimbali wakiwa ukumbini Wadau wakiwa ukumbini Kongamano linaendelea Wadau wakiwa ukumbini Wadau wakiwa ukumbini Kongamano linaendelea Wadau wakiwa ukumbini Kongamano linaendelea Wadau wakiwa ukumbini
Meza kuu wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea Wadau wakiwa ukumbini Kongamano linaendelea Waandishi wa habari wakiwa ukumbini Tunafuatilia kinachoendelea... Mwakilishi kutoka FEMINA akizungumza ukumbini
Mwenyekiti wa Baraza la watoto Tanzania akizungumza
Mmoja wa watoto wahanga wa ndoa za utotoni Leocadia kutoka shirika la AGAPE akitoa ushuhuda ukumini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa akichangia hoja ukumbini
Meza kuu wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea ukumbini
Kongamano linaendelea Mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal akichangia hoja
Mwakilishi kutoka shirika la Save the Children akizungumza ukumbini Picha ya pamoja mgeni rasmi na watoto Picha ya pamoja mgeni rasmi na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Picha ya pamoja mgeni rasmi na mbunge na wenyeviti wa halmashauri za wilaya Picha ya pamoja mgeni rasmi na wakurugenzi wa halmashauri za wilaya Picha ya pamoja mgeni rasmi na wajumbe wa sekretariati ya mkoa Picha ya pamoja mgeni rasmi na viongozi wa dini Picha ya pamoja mgeni rasmi na katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga Boniface Chambi Picha ya pamoja mgeni rasmi na watendaji wa serikali mbalimbali Picha ya pamoja mgeni rasmi na wadau mbalimbali Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin