Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha: TAMASHA LA THE NYAMA CHOMA FESTIVAL VIUNGA VYA ROCK CITY MALL JIJINI MWANZA



Jana Oktoba 08, 2016 kuamkia leo Jumapili Oktoba 09, 2016 ilikuwa Shangwe kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake kwenye tamasha kubwa la "The Nyama Choma Festival" lililofanyika kwenye viunga vya Rock City Mall.
Msanii AY aliwapagawisha wakazi wa Jiji la Mwanza huku wakipata nyama zilizochomwa kwa ustadi wa hali ya juu huku #LakeFmDjz wakidondosha burudani pamoja na DjK3 kutoka Jijini Dar es salaam. Kumbuka 102.5 Lake Fm ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa waliofanikisha tamasha hilo.Na BMG

Mkali AY akidondosha burudani jukwaani


Shangwe kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake



Shangwe kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake



"Nafurahi kwa namna Mwanza wanavyosupport kazi zangu, baada ya show hii nitarudi tena Mwanza kwa ajili ya kuwapa burudani zaidi". Anasem AY (kushoto) wakati akizungumza na Vesterjtz wa BMG



Mmoja wa wakazi wa Jiji la Mwanza (kushoto) akizungumza na Hyroun Tambwe (kulia) ambaye mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza kwenye The Nyama Choma Festival



Wananzengo kutoka Lake Fm Mwanza



Lake Fm Team



Wananzengo wa Lake Fm Mwanza



Dj KFlip kutoka 102.5 Lake Fm
Dj HCue kutoka 102.5 Lake Fm

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com