RAIS MAGUFULI AMFUKUZA KAZI MKURUGENZI ALIYETISHIA KUMUUA KWA BASTOLA ASKARI WA USALAMA BARABARANI
Tuesday, October 18, 2016
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Bado sababu za utenguzi hazijatajwa.
Mkurugenzi huyu ambaye uteuzi wake umetenguliwa, jana alifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtishia kumuua kwa bastola askari wa Usalama Barabarani
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin