RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA MAKOSA YA JINAI TANZANIA
Saturday, October 29, 2016
Rais Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) Diwani Athumani (Pichani) kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin