Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA VIDEO MPYA NA KALI YA KISUKUMA KUTOKA KWA MANJU ITENDELE MCHENYA,INAITWA AMANI GESTI




Ni utaratibu wa Malunde1 blog kukusogezea nyimbo za asili...Leo tunakukutanisha na Manju Kutoka Tabora,"Itendele Mchenya".Itendele Mchenya anayeimba kwa lugha ya Kisukuma na Kinyamwezi ametualika kutazama Video yake inaitwa "Amani Gesti"..Bofya hapa chini ufaidi uhondo wa ngoma hii kali

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com