Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TIGO FIESTA YATIKISA JIJI LA ARUSHA...TAZAMA PICHA

Baraka Da Prince na Nandy wakitumbuiza katika jukwaa la Fiesta usiku wa jumamosi katika viwanja vya Amri Sheikh Abeid Karume Jijini Arusha

Barnaba akiburudisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha

Benpol akiwa na Mcheza shoo wake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa Jumamosi Jijini Arusha

Mashabiki wakimshangilia Benpol

Mkali wa Muziki wa Rhumba Christian Bella akiburudisha mashabiki wa muziki katika jukwaa la Tigo Fiesta

Darasa akionesha umahiri kughani katika jukwaa la Tigo fiesta



Dogo Janja kwa style yake akitumbuiza katika Jukwaa la fiesta Jijini Arusha

Feza Kessy akionesha umahiri wake katika jukwaa la Fiesta jijini Arusha

Jambo SQUAD

Linah naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta jijini Arusha




Mr Blue

Vanesa Mdee akiburudisha mashabiki wake katika Jukwaa la Tigo Fiesta

Weusi wakishambulia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa Jumamosi

Maelfu ya wakazi wa Arusha wakishuhuhida burudani kali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com