Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video : NYANDA NCHAINA - BHULOMOLOMO



Ulisikia kuhusu mrithi wa msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha aliyefariki akijiandaa kufanya show katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu??..Aliyechukua mikoba ya Nyanda Madirisha ni “Nyanda Nchaina”.Malunde1 blog imekusogezea ngoma mpya ya “Nyanda Nchaina” inaitwa “Bhulomolomo”.Bhalomolomo ni neno la Kisukuma likiwa na maana ya “uongo”.


Nyanda Madirisha ni mdogo wake na marehemu msanii Nyanda Madirisha anaishi Kijiji cha Shunu wilayani Kahama mkoani Shinyanga.

Tazama hapa chini video hii

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com