Msanii Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' kutoka Kahama mkoani Shinyanga. ametualika kutazama ngoma yake inaitwa "Lhugendo" Lhugendo ni neno la Kisukuma linalomaanisha "Safari".
Tazama video hii hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin