New Audio: MSANII WA NYIMBO ZA ASILI MASUMBUKO ELIAS - BHUMALAYA
Friday, November 18, 2016
Sikiliza wimbo mpya wa msanii wa nyimbo za asili Masumbuko Elias kutoka Bhushola- Shinyanga unaitwa Bhumalaya...Wimbo huu umetengenezwa Tivol studio jijini Mwanza.
Bofya hapa chini kusikiliza na kudownload wimbo huu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin