News Alert!! DONALD TRUMP ASHINDA NAFASI YA URAIS MAREKANI
Wednesday, November 09, 2016
Hatimaye Donald Trump ameshinda nafasi ya Urais kwa kuvuka idadi ya kura za wajumbe kwa kupata kura za wajumbe 276 huku Clinton akipata 218.
Muda huu anahutubia kukubali ushindi huo, mpaka sasa Clinton amegoma kusema chochote.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin