Ngoma Kali ya Kisukuma!! BHUNG'ANDO 'NG'WANA KANG'WA'- TOLAGWA
Sunday, July 30, 2017
Kila weekend Malunde1 blog huwa inakuweka karibu kabisa na wasanii wa nyimbo za asili...Leo tunakukutanisha na gwiji wa nyimbo za asili Bhung'ando "Ng'wana Kang'wa" kutoka Kahama mkoani Shinyanga,wimbo unaitwa "Tolagwa" akiwa na maana ya "Olewa".
Tazama hapa chini video hii kali balaaa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin