Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BASI LAGONGA NYUMBA NA KUJERUHI WATU WATANO



Watu watano wamejeruhiwa baada ya basi kugonga nyumba moja.

Basi hilo liligonga nyumba hiyo iliopo huko Homer Green karibu na mji wa Wycombe nchini Uingereza.

Abiria watatu walijeruhiwa huku mwanamme na mwanamke waliokuwa ndani ya nyumba hiyo pia wakijeruhiwa.
Via>>BBC

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com