HUMPHREY POLEPOLE ATEULIWA KUWA KATIBU MWENEZI WA CCM
Tuesday, December 13, 2016
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey PolePole ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi kuchukua nafasi ya Nape Nnauye
Social Plugin