Castle MC ni msanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Ameachia wimbo mpya uitwao "Nimerudi" akimshirikisha H.Criss. Wimbo umetengenezwa na producer Day Dream kutoka studio za Over The Classic Music Jijini Mwanza.
Wimbo unavutia kusikiliza na unatoa ujumbe wa watu wengi walio kwene mahusiano ambapo baada ya kutengana, mmoja hurudi na kutaka kufufua upya mahusiano.
Hakika ni HipHop ya maana kusikiliza.
Bonyeza HAPA Au Play Hapo Chini
Social Plugin