TAZAMA NGOMA MPYA YA ASILI : NG'WANA KANG'WA - MANYADA
Sunday, December 18, 2016
Utaratibu wa Malunde1 blog kila weekend kukusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili...Msanii Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama mkoani Shinyanga ametualika kutazama ngoma yake mpya inaitwa Manyada..Tazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin