Video: SIMU YA RAIS YAPIGA KELELE WATU WAKIFANYA MAPENZI MAHAKAMANI
Wednesday, December 28, 2016
Moja ya habari ambazo zimeandikwa sana na vyombo vya habari vya kimataifa ni pamoja na hii inayomhusu Rais wa Bolvia Evo Morales.
Rais Evo Morales akiwa mahakamani kwenye kikao pamoja na wanasheria wa kimataifa alianza kuchezea simu yake ambapo ghafla zilisikika sauti za watu wakifanya mapenzi kwenye simu yake.
Bonyeza play hapa chini kutazama
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin