Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA FAMILIA YA SOKOINE MONDULI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Napono Sokoine (wapili kulia) na  Nekiteto Sokoine (kulia) ambao ni  wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine wakati aipokwenda nyumbani kwa marehemu, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa katika ziara ya wilaya  ya Monduli Desemba 4, 2016.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Monduli Juu akiwa katika ziara ya wilaya ya Monduli
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokwenda nyumbani kwa  aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa aktika ziara ya wilaya  ya Monduli Desemba 4, 20, 16.  Kushoto kwake  wajane wa marehemu, Napono Sokoine (wpili kulia) na kulia ni  Nekiteto Sokoine . Kulia kwake  ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokwenda nyumbani kwa  aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa aktika ziara ya wilaya  ya Monduli Desemba 4, 20, 16.  Kushoto kwake  wajane wa marehemu, Napono Sokoine (wpili kulia) na kulia ni  Nekiteto Sokoine . Kulia kwake  ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com