Kama kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili.Leo ninayo ngoma kutoka kwa msanii wa Nyimbo za asili Meza kutoka Ilola Shinyanga vijijini inaitwa 'Walwa' (pombe).
Wimbo huu ni maalumu kwa walevi,umetengenezwa katika studio za Passmedia zilizopo mjini Kahama mkoani Shinyanga.
Tazama ngoma hii ya walevi hapa chini..ni balaa sana
Social Plugin