Ngoma Mpya Kali ya Asili : NYANDA BETELI KUTOKA KAHAMA - INAITWA 'CHEKECHA'
Sunday, February 12, 2017
Tazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Beteli kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Chekecha..Imetengenezwa Angel Studio Recording mjini Kahama ikiongozwa na Masesa.
Nyanda Beteli ni miongoni mwa wasanii wa nyimbo za asili wanaofanya vyema kimuziki
Tazama video hii hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin