Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI AMTEUA ANNE KILANGO MALECELA KUWA MBUNGE

Rais John Pombe Magufuli amemteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwaka 2016 Anne Kilango aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga kisha kutumbuliwa kutokana na kusema kuwa mkoa wa Shinyanga  hauna watumishi hewa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com