Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AIBUKIA IKULU TENA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman na Balozi wa Denmark Nchini Mhe. Einar Jensen Hebogard na ujumbe wao pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman na Balozi wa Denmark Nchini Mhe. Einar Jensen Hebogard wakiwa pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (kuhoto) na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James (kulia) Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com