Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA NGOMA MPYA YA NYANDA BETELI - KIFO CHA MSANII NYANDA MADIRISHA


Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Beteli ameachia ngoma mpya inaitwa Kifo cha msanii Nyanda Madirisha "Nyanda Madirisha the Super Star aliyefariki dunia 06.08.2016 kwa ajali ya pikipiki akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu

Video hii ya msanii Nyanda Beteli kutoka Kaham mkoa wa Shinyanga "Kifo cha Madirisha" imeongozwa na Masesa wa  Angel Studio Recording zilizopo mjini Kahama.

Tazama Ngoma hii hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com