Msanii kutoka Tanga, Seif Shaaban maarufu kama Matonya ametuletea video yake mpya wimbo unaitwa ‘Hakijaeleweka‘, humo ndani ameonekana mrembo Gigy Money, Video imeongozwa na Tone Blaze.
==>Itazame hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin