Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya ya Asili : NYANDA BETELI - DITOGWAGI

Malunde1 blog,Fahari ya Shinyanga kila weekend imekuwa na utamaduni wa kukuletea ngoma za asili..Leo tunakualika kutazama Ngoma ya Nyanda Beteli kutoka Kahama mkoani Shinyanga inaitwa "Ditogwagi".


Video hii kali na imetengezwa Angel Studio Recording za mjini Kahama ikiongozwa na Masesa anayepatikana kwa simu namba 0768075400
Bonyeza Play hapa chini ufaidi uhondo wa ngoma hii

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com