Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekuwa wakifuatilia pia na mambo ya siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii ameandika kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda.
Afande ameandika "Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee"
Social Plugin