AGIZO LA DKT. KIGWANGALLA KUHUSU WANAUME WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Monday, February 06, 2017
Naibu Waziri wa Afya, Dr. Hamisi Kigwangalla February 6 2017 ameingia kwenye vichwa vya habari kwa ishu ya vijana Watanzania wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Dr. Kigwangalla ameagiza wafuatao wafike wenyewe Kituo cha kati cha Polisi Dar es salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa…. James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa mama.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin