Dawa za kulevya ikiwemo gramu 480 za heroine na cocaine,bangi kilo 81,kete za bangi 1,370,misokoto 1,230 ya bangi,mirungi kilo 3 na gramu 1,027 pamoja na vifaa saidizi vya kujidungia dawa za kulevya ikiwemo sindano na bomba za sindano 8 zenye ujazo wa CC 0.5 zilizokamatwa na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga ambapo watuhumiwa 33 wanashikiliwa kwa kusafirisha,kuuza na kutumia dawa hizo-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro akizungumza na waandishi wa habari
Dawa za kulevya
Waandishi wa habari wakichukua matukio
Kamanda Muliro akiangalia unga/dawa za kulevya
Kamanda Muliro akionesha unga/dawa za kulevya
Kamanda Muliro akionesha fedha shilingi milioni 10.8 za mtuhumiwa wa dawa za kulevya Ashura Ramadhan
Kamanda Muliro akionesha kopo lenye dawa za kulevya
Kamanda Muliro akionesha dawa za kulevya zilizohifadhiwa kitaalamu katika kopo la dawa ya kuulia mbu
Kamanda Muliro akifungua furushi la bangi
Kamanda Muliro akiendelea kuonesha dawa za kulevya
Kamanda Muliro akionesha bangi
Kamanda Muliro akionesha begi lenye bangi